Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Nuru akitumbuiza jukwaani usiku huu na
shabiki wake mbele ya wakazi wa jiji la Tanga wanaondelea kutiririka
ndani ya uwanja wa Mkwakwani ambako tamasha la Serengeti Fiesta 2012
linafanyika.

Mkuu
wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga usiku huu mara baada ya
kuwataja washindi waliojishindia piki piki mara baada ya kuchezeshwa
bahati nasibu,wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012
likiendelea,pichani kati ni Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group, Simon
Simalenga.

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Nuru akitumbuiza jukwaani usiku huu na
shabiki wake mbele ya wakazi wa jiji la Tanga wanaondelea kutiririka
ndani ya uwanja wa Mkwakwani ambako tamasha la Serengeti Fiesta 2012
linafanyika. Kwa picha zaidi ya tukio hili Bofya Hapa.
Msanii kutoka THT,ajae kwa kasi katika anga ya muziki wa bongofleva aitwaye Rachel akiimba jukwaani usiku huu.

Msanii kutoka THT,ajae kwa kasi katika anga ya muziki wa bongofleva aitwaye Rachel akiimba jukwaani usiku huu.

Pichani
shoto ni Mkurugenzi wa Masoko,Ephrahim Mafuru,Mkuu wa Vipindi Clouds
FM,Sebastian Maganga sambamba na Meneja wa bia ya Serengeti,Allan Chonjo
wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya uwanja wa Mkwakwani wakati
tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima.

Dj Zero kutoka Clouds FM akikamua ngoma

Sehemu ya umati wa wakazi wa Tanga wakifuatilia kwa makini makamuzi ya Fiesta usiku huu.

Moja ya zao la Supa Nyota kutoka Mkoani Mbeya akiimba jukwaani.

Hapatoshi Tanga usiku huu.

Post a Comment