BIN
ZUBEIRY inakuletea
mahojiano ya maswali na
majibu na Kocha Mkuu wa mabingwa wa soka Afrika Mashariki na Kati, Yanga
SC, Mbelgiji Tom Saintfiet 'Mtakatifu Tom' kuhusu masuala mbalimbali
katika klabu yake. Endelea.
![]() |
Mtakatifu Tom kushoto, akiwa na BIN ZUBEIRY |
BIN
ZUBEIRY: Habari za leo kocha?
SAINTFIET:
Nzuri, habari na wewe
BIN
ZUBEIRY: Salama. Vipi unaendeleaje na kazi?
SAINTFIET:
Vizuri
BIN
ZUBEIRY: Vipi kuhusu timu kwa ujumla?
SAINTFIET:
Timu yangu iko vizuri, isipokuwa wachezaji wachache ni wagonjwa. Haruna
Niyonzima, Nizar Khalfan, Rashid Gumbo, Juma Seif, Idrisa Assenga na Athumani
Iddi.
BIN
ZUBEIRY: Wanasumbuliwa na nini?
SAINTFIET:
Wengine Malaria, wengine mafua
BIN
ZUBEIRY: Sawa pole sana, hawajafanya mazoezi tangu lini?
SAINTFIET:
Wengine tangu Jumamosi, wengine walicheza Jumapili, lakini hakuna aliyefanya
mazoezi kabisa kati yao
BIN
ZUBEIRY: Sawa, nafikiri Simon Msuva ameleta changamoto mpya
kwako katika upangaji wa kikosi cha kwanza (safu ya ushambuliaji)
SAINTFIET:
Ndio, ananifurahisha sana
BIN
ZUBEIRY: sahihi, bado unajuta kumkosa Mrisho Ngassa?
SAINTFIET:
Sijawahi kujuta chochote, Ngassa ni... Zaidi bofya hapa(Bin Zubeiry)
إرسال تعليق