UKUTA MZIMA WAPANDISHWA A - SIMBA
Kikosi cha Simba B, mabingwa wa BankABC Supe8R |
SAFU yote ya ulinzi ya
Simba B, kuanzia kipa Abuu Hashimu na mabeki wake, William Lucian ‘Gallas,
Omary Salum, Hassan Isihaka na Hassan Hatibu inapandishwa kikosi cha kwanza,
ili kukomazwa,
Mwenyekiti wa Kamati
ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe aliongea juzi kwamba, mradi mzuri wa soka ya vijana
unaelekea kuipunguzia gharama za kusajili klabu hiyo.
“Karibu safu yote ya
ulinzi ile ya Simba B, kocha anavutiwa nayo na katika mipango yake atakuwa
anawatumia hao wachezaji katika timu A. Na kama kuna kitu ambacho Simba
itajivunia baadaye, basi ni wale mabeki wawili wa kati, akina Hassan,”alisema
Hans Poppe.
Lakini tayari Kocha
Mkuu wa Simba SC, Milovan Cirkovick amewapandisha katika kikosi cha kwanza
chipukizi wengine wa Simba B, Jonas Mkude, Edward Christopher na Zaidi bofya hapa
Post a Comment