KAKA KUTUA MANCHESTER UNITED
Kiungo wa kimataifa wa Brazil, mwenye umri wa miaka 30, Kaka
amepewa ofa ya kwenda kucheza kwa mkopo wa muda mrefu Manchester United,
wakati Real Madrid ikijiandaa kumpokea Luka Modric.
WENGER AMUUZA PAUNI MILIONI 15 SONG
![Alex Song](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/62375000/jpg/_62375009_song.jpg)
Daniel Agger, mwenye umri wa miaka 27, yu tayari kusaini mkataba mpya na
Liverpool na 'kuitolea mbavuni' Manchester City - licha ya kulimwa kadi
nyekundu katika mechi ya ufunguzi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya West
Brom.
Habari kamili: Daily Mirror
Manchester City imejiunga kwenye mbio moja na Chelsea za kuwania saini
ya mshambuliaji wa Fiorentina, Stevan Jovetic aliyezaliwa miaka 22
iliyopita.
Habari kamili: The Metro
Post a Comment