MAN CITY WALITOA OFA KWA MESSI, IKAPIGWA CHINI...
Adam Johnson |
Kitabu kipya kinasema kwamba, Manchester City "kwa bahati mbaya"
ilitoa ofa ya kumsajili Lionel Messi, lakini kiulaini ikakataliwa,
katika usiku ambao klabu hiyo ilichukuliwa rasmi na Sheikh Mansour mwaka
2008.
FERGUSON AMEBAKIZA MIAKA MIWILI
Sir Alex Ferguson anataka kustaafu ndani ya miaka miwili, baada
ya kutengeneza timu mpya, inayoongozwa na Wayne Rooney na Robin van
Persie.
Habari kamili: Mail on Sunday
Roberto Mancini haridhiswhi na usajili wa pauni Milioni 12 wa
Jack Rodwell kutoka Everton na bado anashangazwa na usajili wa Man City
safari hii.
Habari kamili: Mail on SundaMODRIC AIKATAA TENA CHELSEA, YEYE NA REAL MADRID TU
Luka Modric, mwenye umri wa miaka 26, anajiandaa kuipiga chini ofa mpya ya Chelsea na kuhamia Real Madrid wiki hii.
Adam Johnson anajiandaa kuondoka Man City na kurudi nyumbani kwao,
Kaskazini Mashariki, na Sunderland iko tayari kutoa pauni Milioni 10kwa
ajili ya winga huyo wa England.
Habari kamili: Sun on Sunday
إرسال تعليق