VAN PERSIE AKALIA BENCHI HADI DK 70 ARSENAL IKIUA 4 - 0
NAHODHA
Robin van Persie aliachwa nje ya kikosi na akapangwa mshambuliaji mpya
wa Arsenal, Lukas Podolski hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Mholanzi huyo
kutochezeshwa kufuatia kuzidi kuenea kwa uvumi kwamba anaondoka.
The
Gunners walikuwa wanacheza mechi ya mwisho ya kujiandaa na msimu mpya
kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya England Jumamosi, na wakashinda 4-0
mabao mawili yakifungwa na mshambuliaji wa Kijerumani mwenye thamani ya
pauni Milioni 11 na mengine yakifungwa na Thomas Vermaelen na Gervinho.
Spot on: Lukas Podolski scored twice in his first Arsenal game, their final pre-season fixture
Maybe I won't be missed: Robin van Persie only featured for 20 minutes as his new team-mate upstaged him
Van Persie aliachwa benchi hadi dakika 20 za mwisho.
Thomas Vermaelen, anayepewa nafasi kubwa ya kuwa Nahodha mpya pia alifunga
The Gunners wakishangilia moja ya mabao yao
Karibu: Olivier Giroud, mchezaji mwingine mpya alikuwepo pia pamoja na Podolski
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk/sport
إرسال تعليق