Warembo Redds Miss Mwanza 2012/13 wameanza rasmi kambi yao katika
Hoteli ya Isamilo Lodge, ambapo warembo 18 kutoka wilaya zote za Mkoa
wa Mwanza, watashiriki shindano hilo, linalotarajiwa kufanyika ijumaa
tarehe 31/08/2012 katika uwanja wa Mwanza Yatch Club jijini Mwanza.
إرسال تعليق