![New deal: Danny Welbeck signs his contract with Manchester United chief executive David Gill](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2012/08/22/article-2191919-14A59972000005DC-439_634x403.jpg)
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, alifunga
mabao kumi na saba kutokana na mechi 64 alizoichezea Manchester United
na vile vile alishirikishwa katika kikosi cha England kilichoshiriki
katika michuano ya kuwania kombe la mataifa bingwa barani Afrika.
'' kile ambacho nimekuwa nikitaka kufanya ni
kuichezea Manchester United, ni klabu ambayo nimeiunga mkono maishani
mwangu'' alisema Welbeck.
Kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson
amesema, Welbeck amekuwa mmoja wao tangu alipokuwa na umri wa miaka
minane na katika miaka ya hivi karibu, mchezaji huyo amebobea.
Welbeck alicheza mechi yake ya kwanza na Manchester United Septemba mwaka wa 2009 dhidi ya Middlesbrough.
Tangu wakati huo mchezaji huyo amekuwa mmoja wa
wachezaji wa kutegemewa lakini sasa anakabiliwa na upinzani mkali, hasa
baada ya United kumsajili aliyekuwa naodha wa Arsenal Robin Van Persie.
Post a Comment