WEMA ATAMANI BIG BROTHER

WEMA ATAMANI BIG BROTHER


Mkali katika kiwanda cha filamu nchini Tanzania mwanadadiva anaekimbiza videadly Wema Sepetu, ametweet kwamba anaitamani sana BBA lakini anahisi ataweza kuvumilia kukaa siku 90 katika nyumba hiyo? Ahofia kuharibu uhusiano wake wa sasa. Pia amesikitika sana kwa Prezzo kushindwa kwani Wema pia alikua Team Prezzo. Tweets za Wema hapo chini.....

Okay done wit BBA, wats happening today my people....?
Can I risk my love...? Cuz I mean, 90 days in a house full of strangers..... Mmmmmh..... Still thinking....
Wat if I go nd get my relationship in trouble....? Thinking wit a raised eyebrow....
Wat if I go nd bring da money home...? Thinking wit a big smile on my face......
Wat if I go and I don't make it....? Still thinking.....
BBA bin on my mind sana..... Thinking..... Thinking....... Thinking.....


 

Ofcz unafaa.
Yaani kwakweli maneno ya mkosaji wala si uongo.... I'm still hurt....
Hata hivyo $300000 za nini wyl he gat enuf kwa bank account.... He dint need it anyway....
Dah tho prezzo hajashinda but I still support him all da way..... ....

Post a Comment

Previous Post Next Post