YANGA WATUA KIGALI, MAMBO YAANZA
|
Yanga baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda. Picha zote na Saleh Ally, Mhariri kiongozi magazeti ya Championi. |
|
Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji baada ya kupokewa na Kocha wa timu ya taifa ya Rwanda, Milutin Sredojevic 'Micho' (kushoto) |
|
Manji kulia akijadiliana mambo na Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga |
|
Wachezaji wa Yanga mjini Kigali |
YANGA imefika salama mjini Kigali, Rwanda tayari kwa
kambi yao ya kujiandaa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,
inayotarajiwa kuanza Septemba 15, mwaka huu.
Post a Comment