YANGA WATUA KIGALI, MAMBO YAANZA

YANGA WATUA KIGALI, MAMBO YAANZA

Yanga baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda. Picha zote na Saleh Ally, Mhariri kiongozi magazeti ya Championi.

Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji baada ya kupokewa na Kocha wa timu ya taifa ya Rwanda, Milutin Sredojevic 'Micho' (kushoto)

Manji kulia akijadiliana mambo na Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga

Wachezaji wa Yanga mjini Kigali

YANGA imefika salama mjini Kigali, Rwanda tayari kwa kambi yao ya kujiandaa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanza Septemba 15, mwaka huu.

Post a Comment

أحدث أقدم