Ziara ya Waziri Mkuu Pinda katika Wilaya ya Mlele
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mashine ya kukoboa mpunga na kupanga madaraja ya mchele katika kijiji cha Mwamapuli wilayani Mlele Agosti 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua uenzi wa daraja la Msyada linalounganisha vijiji vya Mwamapuli na Chamalendi wilayani Mlele Agosti 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
إرسال تعليق