AGNESS MASOGANGE AAHIDI KUMTAJA MPENZI WAKE ALIYETOA NAYE VIDEO YA NGONO

Agnes Masogange  amefunguka kuwa siku chache zijazo atamuanika mpenzi wake aliyoko nchini Afrika Kusini kwa sasa.

Akizungumza na mwandishi wetu, Agnes aliweka wazi kuwa amekuwa akiteswa sana na maswali ya wadau   mbalimbali wanaotaka kumjua shemeji yao.

“Ni kwa sababu hayupo lakini hivi karibuni anatarajia kuingia Bongo, nitamweka hadharani kila mtu amjue wala wasiwe na wasiwasi,” alisema Agness.

Itakumbukwa  hivi karibuni Agness masogange  alitoa  video ya  ngono   na  kuisambaza  mitandaoni.Bila  shaka  huyu  jamaa  anayemnadi  ndo  huyu  aliyeko kwenye hii video......Ngoja tusubiri

Post a Comment

Previous Post Next Post