Baada
ya kumaliza Tour yake UK na nchi zingine tulidhani ata pumzika kwa muda
kabla ya kurudi tena studio.Hapa namuongelea Msanii Wiz Kid kutoka
Nigeria ambaye kwa sasa tayari amesha ingia Konvict Records na anapiga
mzigo na Akon. Pia Video yake na Msanii aliye chini ya lebel hio ya Akon
,Kardinal Offishall ft Wiz Kid - Reppin For My City inakaribia
kukamilika so muda wowote utaiona hapa kwenye http://rashidijuma.blogspot.com/.Wiz
Kid ni mmoja ya wasanii toka Nigeria aliyepata deal na Akon na alisema
ipo siku atapata nafasi kama hio na hata ichezea ,well hii ndio time
yake kama unavyoona hapo chini kuwa Akon anajitamba sana kufanya kazi na
Wiz Kid.

إرسال تعليق