Msanii anayefanya vizuri katika upande wa muziki hapa nchini hata East Africa huyu si mwingine namzungumzia AmbweneYessaya a.k.a AY.Habari nzuri ni kwamba msanii huyu amepata shavu la kuwa balozi wa airtel kuanzia mwaka huu mpaka 2013.Airtel walisema kwamba japokuwa msanii huyu amekuwa balozi wao pia atakuwa akionekana katika matangazo ya airtel ambayo yatakuwa yakirushwa kwenye television pamoja na Billbords mbalimbali.Airtel hawakuishia tu hapo kwani walimpatia Samsung galaxy tab7.0 pamoja na mordem ambayo yenye internet ya mwaka mmoja na mkwanja mrefu.

Ay
kushoto,kati ni Jackson Mmbando meneja mahusiano kutoka airtel na kulia
ni Hawa Bayuni meneja huduma at airtel.Hii picha ni baada ya Ay kutaja
rasmi kuwa balozi wa Airtel na kukabidhiwa Samsung galaxy jijini Dar es
Salaam.

Post a Comment