MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA WATU WA KOREA (KOREA BUSINESS CENTRE) JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa  na wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea  (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR.

Post a Comment

Previous Post Next Post