Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na
viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji
cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya
Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu
wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa na wa
uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business
Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam
leo. Picha na OMR.

إرسال تعليق