Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula Nshimo, akionesha chupa ya Bia ya Kiu
Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya
ziwa Erick Mwayela (kushoto) na Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula
Nshimo, wakigongesha chupa na timu ya promosheni ya bia hiyo wakati wa
uzinduzi wake jijini Mwanza jana.
Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya
ziwa Erick Mwayela (kushoto) akimkabidhi Tshirt mshindi wa bahatinasibu
Ally Abdurahmani iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Faru
jijini Mwanza jana.
Post a Comment