Daudi
Mwangosi (pichani) Reporter wa Channel Ten Mkoani Iringa, inadaiwa
amepoteza maisha katika mapambano ya Jeshi la Polisi na waafuasi wa
CHADEMA wilayani Mufundi.
Vurugu
hizo zimetokea wakati CHADEMA wakifungua tawi lao Wilayani humo.Chanzo
cha vurugu hizo hakijajulikana. Taarifa hii ni Kwa mujibu wa kituo cha
Televisheni cha ITV jioni hii
إرسال تعليق