CHANNEL O (CHOMVA12), AY ndani ya Categories 3 kwenye tuzo

 AY msanii kutoka TANZANIA ameingia kwenye tuzo za Channel O Music Video Award 2012 akiwa kwenye sehemu 3, sehemu hizo ni pamoja na


Most Gifted Video of the Year

Most Gifted East African video of the Year

Most gifted male video of the year 

Post a Comment

Previous Post Next Post