الصفحة الرئيسيةENTERTAINMENT CHANNEL O (CHOMVA12), AY ndani ya Categories 3 kwenye tuzo Hisia سبتمبر 01, 2012 0 AY msanii kutoka TANZANIA ameingia kwenye tuzo za Channel O Music Video Award 2012 akiwa kwenye sehemu 3, sehemu hizo ni pamoja na Most Gifted Video of the Year AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your Body Most Gifted East African video of the Year AY ft Sauti Soul: I Don't Want to Be Alone Most gifted male video of the year AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your Body
إرسال تعليق