PAMOJA na kukiri kupewa uhuru wa
kutosha na mumewe Frank Mtao, mkali wa filamu, Chuchu Hans
amefunguka kuwa hawezi kutoka nje kama mastaa wengine wanavyoandamwa na
skandali hiyo.
Chuchu aliiambia Mpekuzi kuwa anajitambua yeye ni nani katika jamii hivyo skendo haiwezi kumpata hata siku moja kwani hana tamaa ya fedha kama wengine.


إرسال تعليق