|
| Rihanna
(kushoto) akibusiana na boifrendi wake wa zamani Chris Brown (kulia)
wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki la MTV Video Music
Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California
jana usiku Septemba 6, 2012. |
 |
| Rihanna
(kushoto) na rapa A$AP Rocky wakitumbuiza stejini wakati wa tamasha la
tuzo za video bora za muziki la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi
wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6,
2012. |
 |
| Rihanna
akitumbuiza stejini wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. |

Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.
|
|
 |
| Rihanna
akishukuru kwa tuzo ya Video Bora ya Mwaka wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. |
|
 |
| Rihanna
akishukuru kwa tuzo ya Video Bora ya Mwaka wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. |
 |
| Rihanna
akiwasili
kwa ajili ya tamasha la tuzo za video bora za muziki la MTV Video Music
Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los

akiwasili kwa ajili ya tamasha la tuzo za video bora za muziki

| Rapa
Wiz Khalifa (kushoto) akishika tumbo la mchumba wake mwanamitindo Amber
Rose wakati wakiwasili kwa ajili ya tamasha la tuzo za video bora za
muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. |
 |
| Rapa Wiz Khalifa (kushoto) akiwasili na
mchumba wake mwanamitindo Amber Rose kwa ajili ya
tamasha la tuzo za video bora za muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. |
DJ wa Chris Brown, DJ Baby Dru, ambaye
yuko jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupagawisha mashabiki kesho
Jumamosi kwenye Ukumbi wa Savanna Lounge, amemtetea bosi wake kwamba
hajarejesha mahusiano na Rihanna licha ya wawili hao kubusiana wakati wa
tamasha la tuzo za video za muziki la MTV Video Music Awards 2012 jana
usiku.
Rihanna alimbusu boifrendi wake wa
zamani Chris Brown stejini wakati wa tamasha hilo la ttuzo kwenye ukumbi
wa Staples Center mjini Los Angeles, California na kuzua mijadala mipya
kwamba huenda wawili hao wamerudiana ama wako mbioni kurudiana.
Hata hivyo, Dj Baby Dru, amemwambia
mtangazaji Dj Fettie wa kipindi cha XXL cha radio Clouds FM katika
studio hiyo kuwa wawili hao ni marafiki tu.
"Ina maana hujaona mapicha yanayowaonyesha wanavyobusiana?" aliuliza Fettie kumwelekeza swali DJ huyo wa Chris Brown.
"Inawezekana amem-kiss kidevuni," alisema DJ huyo raia wa Jamaica, ambaye pia ni mtangazaji wa radio.
DJ huyo amesema amekuwa akifanya kazi ya U-DJ katika shoo zote za Chris Brown.
Kiingilio cha katika shoo ya Savanna kesho kimetangazwa kuwa ni Sh. 25,000.
إرسال تعليق