ESSIEN APEWA JEZI NAMBA 15 REAL MADRID

Real deal: Michael Essien poses after being unveiled by the Spanish giants
Michael Essien akiwa na jezi ya klabu yake mpya
Real Madrid imempa jezi namba 15 kiungo iliyemsajili kwa mkopo kutoka Chelsea, Michael Essien, ikiwapiku Arsenal waliokuwa wanamuwania pia Mghana huyo. 

The Gunners walikuwa wa kwanza kumuomba kiungo huyo, ambaye hakuwemo kwenye mechi ya jana ya Super Cup ya UEFA, ambayo The Blues walipigwa 4-1 Atletico Madrid.
 

Post a Comment

Previous Post Next Post