MBWA MWITU WAKILA CHAKULA CHA MWISHO KABLA YA KUACHIWA HURU MBUGANI SERENGETI


 
Mbwa mwitu wakipata mlo wao wa mwisho kabla ya kurudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation Project, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
 
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Jamii cha kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Bw. Yesaya Mwakifulefule akiangalia Mbwa mwitu kumi na Moja wakipata mlo wao wa mwisho kabla ya kurudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation Project, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
 
Mhudumu wa Mbwa mwitu hao akiandaa chakula cha mwisho kwa ajili ya Mbwa mwitu kumi na Moja, kabla hawajarudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi huo, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
(PICHA NA IKULU)

Post a Comment

Previous Post Next Post