HAYA NDO MADHARA YA KUSOMA UKUBWANI


Ni  bora wanafunzi tukatambua  kilichotupeleka  shule.
Hayo mambo ya kifedhuli achaneni nayo.

Wazazi wanakula dagaaa na  mboga  za majani  ili ninyi msome.

Kwa hali hii ni bora tuwakabidhi Opena mkahudumie  sehem  nyingine

Post a Comment

Previous Post Next Post