HUYU NDIO KIUNGO WA COASTAL ALIYETORO KAMBINI NA KWENDA KUPIGA 'NDONDO' MUHIMBILI

Nassor Bin Slum

Jioni hii, BIN ZUBEIRY alitembelea mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Muhimbili na kumkuta kiungo wa Coastal Union, Mohamed Bin Slum ‘akipiga ndondo’ wakati timu yake ipo kwenye maandalizi ya Ligi Kuu Tanga, cheki picha mbalimbali za mazoezi ya timu hiyo inayomilikiwa na Nassor Bin Slum, mdhamini mkuu wa Coastal Union na Villa Squad.

Habari/picha na Bin Zubeiry

Abdillah 

Mohamed Bin Slum

Ally Bin Slum

Add caption

Nassor Bin Slum akifumua shuti

Nassor Bin Slum anamzuia mtu safarini

Mohamed Bin Slum mwenye beep nyekundu

Mohamed Bin Slum akiinuka baada ya kuumizwa. Swali, akiumia hapa kwenye 'ndondo' atatibiwa na Coastal au Al Nasri?

Post a Comment

Previous Post Next Post