![]() |
| Waombolezaji |
Mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa gazeti la Tanzania Daima, Agness Christopher Yamo umeagwa leo mchana Buguruni, Dar es Salaam, tayari kwa safari ya mazishi kesho mjini Morogoro. Yamo aliyewahi pia kufanya New Habari 2006 Limited, alifariki dunia jana katika hospitali ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
![]() |
| Waombolezaji |
Katika uagwaji
wa mwili wa marehemu, aliyekuwa mcheshi na rafiki wa wengi, mamia walijitokeza
na wengi walishindwa kujizuia kiasi cha kulia hadi kupoteza fahamu. Hakika ilikuwa
huzuni, simanzi na majonzi eneo la tukio. Agness ameliza watu. Mungu aiweke
pema peponi roho ya marehemu, Amin. Habari/Picha na:- http://bongostaz.blogspot.com/










































![]() |
| Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda |
![]() |
| Mkurugenzi wa Tanzania Daima, Lillian Mbowe |













Post a Comment