HIVI NDIVYO SALAMA JABIR ALIVYOLAZIMISHWA KUPAKA PODA
Hisia0
Duh!
Ilikuwa kazi sana kumpata Salama Jabir ili tumpeleke akapate poda,
lakini kwa sababu ya maombi yenu...imebidi tumshike kwa nguvu na
kumfikisha kwa mtaalamu wa urembo ili mmuone akipata poda! Je, imekaaje
hiyo? "Comment" kama unaikubali!
إرسال تعليق