HIVI NDIVYO SHEREHE ZA SIMBA NA YANGA ZA KUKABIDHIWA MABASI MAKUBWA ZILIVYOFANA

Mabasi

Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mussa Katabaro. Picha na:- http://bongostaz.blogspot.com/

Mashabiki

Kulia Rage akijadili na Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL

Rage akimuonyesha kipengele tata Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah

Dole la Rage katika kipengele tata
Sanga akikabidhiana makabrasha ya basi na Mkurugenzi wa TBL

Rage akibadilishana makabrasha na Mkurugenzi wa TBL 

Post a Comment

Previous Post Next Post