

Maovu yanayotendeka ndani ya BBA hayasimuliki.Washikiri hucheza uchi, huoga uchi tena jinsia mbili tofauti.Mbaya zaidi hufanya mapenzi hadharani, wengine bafuni na wengine ndani
Nakumbuka ilikuwa tarehe 11 agosti 2011 ,SERIKALI ilipiga marufuku Tanzania kushiriki shindano la Big Brother Afrika kwa kuwa shindano hilo linapotosha maadili ya kiafrika na kuharibu kizazi cha watoto wa Tanzania.

Aliyekuwa Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi alisema
shindano hilo ni kero kubwa kwa serikali na taifa kwa ujumla hawajui
linafundisha nini kwa jamii.
Naomba kumnukuu kama ifuatavyo:


"Hatujui linafundisha nini watoto wetu, linapotosha jamii, ni kero kubwa hatushabikii shindano hili na wanaoenda kushiriki wajue hawana baraka za serikali ndio maana hatujawahi kwenda kuwapokea na bahati yao mawasiliano yao ya kushiriki wanafanya kwa njia ya mtandao,"alisema Nchimbi wakati wa kikao cha bunge.


Kutokana
na kauli hiyo ya serikali, je hakuna njia mbadaya ya
kuwazuia hawa watanzania ambao huenda kututia aibu?......Viongozi
wa dini mnalipi la kusema juu ya shindano hili la AIBU?
Alianza RICHARD akatutia aibu kubwa.. kama unavyoona katika picha....SERIKALI "IKAPOTEZEA"......
Mwaka uliofuata akaenda Bhoke Ernest naye akageuzwa "samaki" na jamaa la uganda.......
HUYU NI BHOKE ALIPOGEUZWA SAMAKI....


HUYU NI BHOKE ALIPOGEUZWA SAMAKI....
Alipoulizwa alidai kuwa yule ni mpenzi wake na wanampango wa kuoana.JE, BHOKE UMEOLEWA NA HUYO JAMAA ALIYEKUGEUZA SAMAKI?
TAZAMA KWENYE HII VIDEO JINSI TULIVYOGEUZWA SAMAKI.
VIDEO YA KWANZA
VIDEO YA PILI
VIDEO YA TATU
INANIUMA SANA PALE NINAPOONA WATANZANIA BADO TUNAKUBALI KUSHIRI SHINDANO HILI LISILO NA HESHIMA......
NI SHINDANO AMBALO HALIZINGATII MILA NA DESTURI ZA MWAFRIKA........
JE, WATANZANIA TUTAENDELE KUAIBIKA MPAKA LINI?...NINI KIFANYIKE. TUPE MAONI YAKO.
NI SHINDANO AMBALO HALIZINGATII MILA NA DESTURI ZA MWAFRIKA........
JE, WATANZANIA TUTAENDELE KUAIBIKA MPAKA LINI?...NINI KIFANYIKE. TUPE MAONI YAKO.
Post a Comment