HUU NDO UCHAFU AMBAO HUFANYIKA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA.....SERIKALI IKO WAPI?

 RICHARD   WA TANZANIA

Maovu yanayotendeka  ndani  ya  BBA hayasimuliki.Washikiri  hucheza  uchi, huoga  uchi tena jinsia  mbili tofauti.Mbaya  zaidi  hufanya mapenzi hadharani, wengine bafuni na wengine  ndani 

Nakumbuka  ilikuwa tarehe 11 agosti 2011 ,SERIKALI ilipiga  marufuku Tanzania kushiriki shindano la Big Brother Afrika kwa kuwa shindano hilo linapotosha maadili ya kiafrika na kuharibu kizazi cha watoto wa Tanzania.


Aliyekuwa Waziri wa Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi alisema shindano hilo ni kero kubwa kwa serikali na taifa kwa ujumla  hawajui linafundisha nini kwa jamii.

Naomba  kumnukuu  kama  ifuatavyo:


"Hatujui linafundisha nini watoto wetu, linapotosha jamii, ni kero kubwa hatushabikii shindano hili na wanaoenda kushiriki wajue hawana baraka za serikali ndio maana hatujawahi kwenda kuwapokea na bahati yao mawasiliano yao ya kushiriki wanafanya kwa njia ya mtandao,"alisema Nchimbi wakati  wa  kikao cha bunge.


Kutokana na  kauli  hiyo  ya  serikali,  je  hakuna  njia  mbadaya  ya  kuwazuia  hawa watanzania  ambao  huenda  kututia  aibu?......Viongozi  wa dini mnalipi la  kusema  juu ya  shindano hili la  AIBU?
 
Alianza  RICHARD akatutia  aibu  kubwa..  kama  unavyoona  katika  picha....SERIKALI  "IKAPOTEZEA"......



Mwaka uliofuata  akaenda  Bhoke  Ernest  naye  akageuzwa  "samaki" na  jamaa la  uganda.......


HUYU NI BHOKE ALIPOGEUZWA  SAMAKI....

Alipoulizwa  alidai kuwa  yule ni mpenzi wake na  wanampango wa  kuoana.JE, BHOKE UMEOLEWA  NA HUYO JAMAA ALIYEKUGEUZA SAMAKI?
 TAZAMA KWENYE HII VIDEO JINSI TULIVYOGEUZWA  SAMAKI.
VIDEO YA KWANZA
VIDEO YA PILI
VIDEO YA TATU
INANIUMA SANA  PALE NINAPOONA  WATANZANIA  BADO  TUNAKUBALI  KUSHIRI SHINDANO HILI LISILO NA HESHIMA......


NI SHINDANO AMBALO HALIZINGATII  MILA  NA  DESTURI ZA  MWAFRIKA........


JE, WATANZANIA  TUTAENDELE  KUAIBIKA MPAKA  LINI?...NINI KIFANYIKE.  TUPE  MAONI YAKO.   

Post a Comment

أحدث أقدم