IMETHIBITISHWA HUYU NDIO JUDGE MPYA WA AMERICAN IDOL.

Mariah,Ryan,Randy Nicki Minaj
Imethibitishwa kuwa Rapper wa Young Money Cash Money ,Nicki Minaj Ndiye Judge mpya wa Mashindano ya vipaji 'American Idol' na atafanya kazi na Judge wenzake kama Mariah Carey, Randy Jackson and Keith Urban. Habari hizi amezitangaza Host wa American Idol Ryan Seacrest kwa kuweka picha hii wazi ikifuatiwa na ujumbe huu.

"It's official,your new#IdolJudges are @MariahCarey,@NickiMinaj,@KeithUrban&@Yo_RandyJackson!"  


Napenda ufahamu kuwa American Idol inadhaminiwa na Cocacola na Nicki Minaj ni Balozi wa Pepsi ndio maana mkataba wake ulileta tatizo mwanzoni, Maongezi yalifanyika kati ya hizi kampuni mbili na wakafikia makubaliano. Baada ya Nicki Minaj kutangazwa kama Judge imesemekana show ya America Idol itakuwa na Drama na vituko zaidi.

Post a Comment

أحدث أقدم