Jipatie Tablet Ya ZTE V9 Kwa Punguzo La Asilimia Hamsini

Wikiendi hii ya Tarehe 29-30 September, jipatie Tablet ya ZTE V9 kwa punguzo la asilimia Hamsini (50%)!! Vile vile utapata kifurushi cha intaneti cha MB500! Kupata punguzo hilo tafadhali jaza fomu inayopatikana katika link hii http://www.aymzz.com/apps/yourls/vodatabform Fika Mlimani City katika duka la Vodacom wikiendi hii na ufurahie ofa hii! Kumbuka punguzo la asilimia hamisini ( 50%) ni kwa watakao jaza fomu tuu!

Post a Comment

Previous Post Next Post