
Wikiendi
hii ya Tarehe 29-30 September, jipatie Tablet ya ZTE V9 kwa punguzo la
asilimia Hamsini (50%)!! Vile vile utapata kifurushi cha intaneti cha
MB500!
Kupata punguzo hilo tafadhali jaza fomu inayopatikana katika link hii http://www.aymzz.com/apps/yourls/vodatabform
Fika Mlimani City katika duka la Vodacom wikiendi hii na ufurahie ofa
hii! Kumbuka punguzo la asilimia hamisini ( 50%) ni kwa watakao jaza
fomu tuu!
إرسال تعليق