MPIGIE KURA DITTO TUZO ZA RF1 FRANCE 2012 KABLA YA TAREHE 24 SEP


 lameck Ditto mwenye miaka 25

amechaguliwa kushindania tuzo za RFI Discover Awards akiwa ni mmoja kati ya washiriki 10 kutoka nchi mballi mbali za Africa kama Segal, Nmibia Ngeria, Muritius , Mritania, DRC, Côte d'Ivoire  na Benin.katika tuzo hizo Ditto ameingiza ngoma zake mbili ikiwa ni Niamini pamoja na Wapo
ingia hapa umpigie kura aweze kuibuka kidedea http://www.rfimusic.com/comment/reply/119490


Post a Comment

Previous Post Next Post