lameck Ditto mwenye miaka 25
amechaguliwa kushindania tuzo za RFI Discover Awards akiwa ni mmoja kati ya washiriki 10 kutoka nchi mballi mbali za Africa kama Segal, Nmibia Ngeria, Muritius , Mritania, DRC, Côte d'Ivoire na Benin.katika tuzo hizo Ditto ameingiza ngoma zake mbili ikiwa ni Niamini pamoja na Wapo
ingia hapa umpigie kura aweze kuibuka kidedea http://www.rfimusic.com/comment/reply/119490


إرسال تعليق