Mystica
ameuambia mtandao wa TMZ kuwa anajaribu mara ya mwisho kutafuta riziki
kupitia mziki, akaendelea kusema kuwa akishindwa kutengeneza pesa kwenye
albam yake ijayo ataingia moja kwa moja katika uigizaji wa film za
NGONO.
Mystica
akaendelea kusema kuwa hatanii hata kidogo katika swala hilo kwani
anaangalia ni kitu gani kitamuingizia pesa kwa wakati huu,
Rapa
Mystica yupo chini ya Cash Money Record, ana historia ya kuigiza filam
hizo tena akapata tuzo za AVN mwaka 2003, baada ya kutengeneza filam ya
ngono japokuwa hakuonekana akifanya ngono.
Mwigizaji wa ngono ambaye anapenda sana kufanya naye amemtaja PINKY na kuongeza:- She's a bad bitch. I would take her down in a second"
إرسال تعليق