
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche akiongea na wafuasi wa Chadema kwenye ofisi za chama hicho eneo la Kingo.
WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani
Morogoro, jioni hii wameandamana kwa amani kutoka maeneo ya Nane Nane
walikokwenda kumpokea Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, John Heche hadi
makao makuu ya chama hicho ya mkoani hapa yaliyopo mtaa wa Kingo. Baada
ya kufika kwenye ofisi hizo, Heche alizungumza na wafuasi wa chama
hicho
Chanzo:- http://freebongo.blogspot.com
Post a Comment