Nisipo fanya Mapenzi Naugua - Jini Kabula

Jini Kabula
MSANII wa filamu ambaye pia amejiingiza kwenye muziki, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka kwa kueleza kuwa, akikaa muda mrefu bila kupata malavidave anaugua.

Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema hali hiyo inamshangaza kwani kuna kipindi alichukua hadi uamuzi wa kwenda hospitali lakini vipimo vilionesha hakuwa na tatizo.
“Si unajua tena mpenzi wangu Bushoke kwa sasa hayupo, tangu ile mimba itoke nimejikuta kwenye wakati mgumu sana. Hata hivyo, nikiyakosa ‘malavu’  muda mrefu naugua utadhani nina malaria kumbe wala …nahitaji ‘mambo’ tu, acha nivumilie kwani usaliti siku hizi siyo poa,” alisema msanii huyo

Post a Comment

Previous Post Next Post