
Hizi ni baadhi ya picha za video shot ya wimbo wa Lady Jaydee uitwao "Yeye" iliyofanyika Ijumaa 21st Sept 2012.

Video imesimamiwa na ma-director wawili Lamar na Karabani chini ya Kampuni ya Filmatic.

Video imefanywa maeneo ya Lugalo Golf Club Dar es salaam.

إرسال تعليق