PUMA, AIRTEL,WACHANGIA MAMILIONI WIKI YA NENDA KWA USALAMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima akipokea vifaa maalum vya kampeni ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Airtel Tanzania, Beatrice Singano (kulia) katika hafla iliyofanyika kwenye mgahawa wa Puma Energy (zamani BP), Kurasini, Dar es Salaam mchana wa leo. Wengine katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Puma Energy, Maregesi Ben Manyama na Kamanda Mkuu wa Jeshi la Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga.  Nyuma kushoto, ambaye haonekani vizuri ni Mjumbe wa Baraza la Usalama Barabarani, Henry Bantu.  Airtel Tanzania na Puma Energy kwa pamoja wamekabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 45 kwa ajili ya kampeni hizo.


Beatrice Singano kulia akizungumza na Waandishi wa Habari

Makabidhiano

Kamanda Mpinga anafungua stika za kampeni

Kamanda Mpinga anaonyesha stika

Makabidhiano

Meneja Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiandaa stika

Waziri Silima akizungumza

Maofisa wa Jeshi la Usalama Barabarani wakipiga makofi kupongeza hotuba ya Kamanda Mpinga

Manyama akizungumza

Post a Comment

Previous Post Next Post