
Msanii mahiri katika mahadhi ya Mduara AT akiduarika na mmoja wa densa wake jukwaani usiku huu.
VIDEO
PICHA

Msanii
muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Recho akiimba kwa hisia jukwaani
usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa
Jamhuri,mjini Morogoro,ambapo wakazi kibao wa mji huo (hawapo pichani)
wamejitokeza kwa wingi.

Mmoja
wa sanii chipukizi katika shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Ney
Lee akionesha kipaji chake cha kuimba jukwaani usiku huu.
Pichani
kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga
akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni
mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la
Serengeti likiendelea kufanyika.

Pichani juu na chini ni Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dayna na kundi lake la Wakali wa Classic wakitumbuiza jukwaani


Mkali wa Supa Nyota,Jo Meka akikamua jukwaani.

Mkali wa kusugua mangoma,Dj Zero akifanya makamuzi yake.

Muziki ni hisia kama hivi.

Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akitumbuiza usiku huu kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012

Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akiimba jukwaani.

Wadau mbalimbali wa tamasha la Fiesta wakifuatilia burudani mbalimbali zikiendelea hivi sasa jukwaani.

Morogoro kuna vijana wengi wenye vipaji,ambao kiukweli wameonesha vilivyo kwenye jukwaa la Fiesta 2012 usiku huu.

Wadau wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri usiku huu.

Ni burrudani tu ndani ya muonekano mpya wa tamasha la serengeti fiesta 2012.
Michael Jackson wa Morogoro akionesha umahiri wake kuchenza nyimbo za The Wacko Jacko.

Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akitumbuiza usiku huu kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012

Msanii
chipukizi kutoka nyumba ya vipaji,THT,Alini Nipishe akiimba na shabiki
wake jukwaani usiku huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012
likiendelea.


Wakazi
wa Morogoro wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa
Jamhuri,ambako ndiko tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea hivi
sasa.
إرسال تعليق