SITAKI DOGO JANJA ATUMIE CHORUS YANGU WALA KUNITAJA KWENYE NYIMBO ZAKE - TUNDA MAN

Leo katika Power Jams ya East Africa Radio ,Tunda alifunguka kuhusu Mambo Ya wasanii kutengana na kusema huwa yana leta madhara mengi zaidi kwa pande zote . Kama Dogo janja kuna ngoma anasema ' Na Run Dar City Nikiwa Na JCB ,Na Run Dar City  Nikiwa na TIP' Na kwa sasa hayupo tena TipTop so maneno kama hayo yapo nje ya uwezo wake na kumfanya apoteze sifa anapokuwa kwenye stage kama Anaposema 'Nipo Na Tunda Man ' Wakati mimi sipo kwenye show hiyo .Mimi na mshauri asitaje majina hayo sababi maneno kama hayo yana mlostisha na kumpunguzia Credit kwenye stage.

Pia kuhusu Dogo Janja kutoa Chorus za Tunda Man kwenye Nyimbo zake ,Tunda amesema jambo kama hilo linawezekana na tumeone wasanii wengi wakifanya hivyo.Beat za nyimbo zipo na sauti zake so ni kitu cha kufanya tu sio issue kubwa sababu huwezi ukasema nipo na TIPTOP Alafu unawatambulisha Watanashati.

Post a Comment

أحدث أقدم