
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bashir Awale (kulia) akisaini
hati za makubaliano ya kimkakati na Meneja Mkuu wa Wateja wa Makampuni
wa Benki ya Biashara na Viwanda ya China (ICBC), Jiang Tao (kushoto) na
Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya madini ya Tanzania China Mineral Resources
inayoundwa kwa pamoja kati ya kampuni ya Kichina ya Sichuan Hongda na
Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Zhao Daoquan jijini Dar es Salaam
juzi jioni. ICBC inamiliki asilimia 20 ya hisa katika benki ya Standard
ya Afrika Kusini benki mama ya Stanbic Tanzania.

إرسال تعليق