TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL LILIVYOFANA 'KIHIVYO HIVYO' JANA LEADERS

FM Academia jukwaani

Ngwasuma
Tamasha la muziki Tanzania, (Tanzania Live Music Festival) lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam, likishirikisha bendi zaidi ya saba na wasanii wengine mbalimbali, lilifana ingawa halikuhudhuriwa na watazamaji wengi.
Bendi za Sikinde, Msondo, B. Band, Mashujaa Band, Akudo Impact, FM Academia, Mashauzi Classic na Wazee Sugu zilitumbuiza kwa wakati tofauti jukwaani na kukonga nyoyo za mashabiki wachache waliojitokeza.

Wanenguaji wa FM

Toto Kalala wa FM

Watazamaji

Mwanamuziki mkongwe John Kitime akiwa na wanenguaji wa FM, Queen Suzy kulia na Aaliyah kushoto 

Balozi wa Tamasha, Jacqueline Wolper

Mashauzi Classic

MC wa jana Ben Kinyaiya na shabiki wake

Rukia Juma wa Mashauzi

Mashabiki kwa raha zao

Mashabiki kwa raha zao

Ktime na Wolper

Isha Mashauzi akijipodoa kabla ya kupanda jukwaani

Mashauzi wakishambulia
Lengo la waandaaji wa tamasha hilo, Edge Entertainment ni kuwa tamasha kubwa la kila mwaka kwa ajili ya bendi za dansi na hawajali hasara ya jana, kwani wanaamini ndani ya miaka mitatu malengo yao, yatatimia

Post a Comment

أحدث أقدم