TYGA KUFANYA FILAMU YA NGONO


Rapper kutoka YMCMB Mkali wa ngoma ya Rack City Tyga ameripotiwa kutengeneza, kudirect movie ya ngono ambayo itaitwa Rack City jina la ngoma yake iliyofanya vizuri ya Rack City. Kufanya hivyo atakuwa amefuata nyayo za Snoop Dogg, 50 cent, Lloyd Banks na Big Daddy Kane. Mkali Tyga ameamua kujitosa katika soko hilo la ngono

Post a Comment

Previous Post Next Post