Nahodha Steven Gerrard, mwenye umri wa miaka 32, anafikiri England itatwaa Kombe la Dunia nchini Brazil mwaka 2014.
Beki wa Everton, Leighton Baines, mwenye umri wa miaka 27,
amechanganyikiwa mno na Manchester United kushindwa kumsajili katika
usajili uliopita.
Kocha wa Real Madrid, Jose Mourinho anaamini historia ya klabu
hiyo itatosha kumshawishi mshambuliaji Mreno mwenzake, Cristiano
Ronaldo, mwenhye umri wa miaka 27 kubaki, licha ya kutakiwa na matajiri
wa Manchester City.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anataka mabeki Bacary Sagna, mwenye umri
wa miaka 29 na Kieran Gibbs, mwenye miaka 22, kusaini mkataba mpya.
Beki wa Chelsea na England, Ashley Cole, mwenye umri wa miaka 31,
anajiandaa kwenda Paris St Germain ya Ufaransa Januari au mwishoni mwa
msimu.
WINGA wa Manchester United, Nani, mwenye umri wa miaka 25, ana nia ya kuhamia Zenit St Petersburg ya Urusi bila kujali mshahara.
Post a Comment