ULISIKI/ULIMUONA NA HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA LULU(ELIZABETH MICHAEL)

 Kama kawaida kipima joto si uraiani tu hata sasa bado anawakilisha
Pamba na kupendeza kama kawa, na wakina nanihiii hawa chezi mbali mweee



Dokta Cheni ndio msanii pekee wa filamu ambaye yuko bega kwa bega na familia ya Lulu. Big up kaka Mungu yupo pamoja nawe katika kufanikisha swala la Lulu limalizike hapa akiwa na wakili wa Lulu. Tuzidi kumuombea Lulu.

Post a Comment

أحدث أقدم