| Mkurugenzi
wa Lino Agency, Hashimu Lundenga (katikati) akifuatilia kwa ukaribu
shindano la Redds Miss Kanda ya Kaskazini wakati warembo mbalimbali
waliotoka katika mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Tanga na Arusha
wakichuana kumsaka mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kaskazini
ambapo Warida Frenk aliibuka mshindi akifuatiwa na Anande Raziel na Lucy
Stefano. Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss
Tanzania baadaye ili kujiandaa na shindano la taifa la Redds Miss
Tanzania 2012 |
إرسال تعليق